1 Wafalme 17:9
1 Wafalme 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ondoka uende mjini Sarefathi, karibu na Sidoni, ukae huko. Nimemwamuru mwanamke mmoja mjane akupatie chakula huko.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 171 Wafalme 17:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 17