1 Wafalme 18:21
1 Wafalme 18:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Elia akawakaribia watu hao, akawaambia, “Mtasitasita na kuyumbayumba mioyoni mpaka lini? Ikiwa Mwenyezi-Mungu, ndiye Mungu mfuateni; lakini ikiwa Baali ni Mungu, basi, mfuateni yeye.” Lakini watu hawakumjibu neno lolote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye Eliya akawakaribia watu wote, akanena, Mtasita-sita katikati ya mawazo mawili hata lini? BWANA akiwa ndiye Mungu, mfuateni; bali ikiwa Baali ni Mungu, haya! Mfuateni yeye. Wale watu hawakumjibu neno.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18