1 Wafalme 18:30
1 Wafalme 18:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elia akawaambia watu, “Sogeeni karibu nami.” Wao wakamkaribia. Kisha Elia akaijenga upya madhabahu ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa imebomolewa.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kisha Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu ya BWANA iliyovunjika.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18