1 Wafalme 18:32
1 Wafalme 18:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa mawe hayo, Elia alimjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akachimba na mtaro kuizunguka madhabahu hiyo; mtaro uwezao kuchukua kama debe moja na nusu la nafaka.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:32 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye akaijenga madhabahu kwa mawe hayo katika jina la BWANA; akafanya mfereji, kama wa vipimo viwili vya mbegu, ukiizunguka madhabahu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18