1 Wafalme 18:38
1 Wafalme 18:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara, Mwenyezi-Mungu akashusha moto, ukaiteketeza tambiko hiyo ya kuteketezwa, kuni, mawe na vumbi, na kuyakausha maji yote mtaroni.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:38 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo moto wa BWANA ukashuka, ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na kuni, na mawe, na mavumbi, ukayaramba yale maji yaliyokuwamo katika mfereji.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18