1 Wafalme 18:43
1 Wafalme 18:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akamwambia mtumishi wake, “Sasa, nenda utazame upande wa baharini.” Mtumishi akaenda, akatazama, kisha akarudi akasema, “Hamna kitu.” Elia akamwambia, “Nenda tena mara saba.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:43 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu. Naye akanena, Enenda tena mara saba.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18