1 Wafalme 18:44
1 Wafalme 18:44 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara ya saba, huyo mtumishi akarudi, akasema, “Naona wingu dogo kama mkono wa mtu linatoka baharini.” Elia akamwambia, “Nenda umwambie mfalme Ahabu atayarishe gari lake la kukokotwa, ateremke, asije akazuiliwa na mvua.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 181 Wafalme 18:44 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu linatoka katika bahari, nalo ni dogo kama mkono wa mtu. Akanena, Enenda, umwambie Ahabu, Tandika, ushuke, mvua isikuzuie.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 18