1 Wafalme 19:12
1 Wafalme 19:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
na baada ya tetemeko la nchi kukawa na moto; lakini BWANA hakuwamo katika moto ule; na baada ya moto sauti ndogo, ya utulivu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Tetemeko likapita, kukawa na moto. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo. Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19