1 Wafalme 19:13
1 Wafalme 19:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, Eliya alipoisikia, alijifunika uso wake katika mavazi yake, akatoka, akasimama mlangoni mwa pango. Na tazama, sauti ikamjia, kusema, Unafanya nini hapa, Eliya?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elia aliposikia sauti hiyo, alijifunika uso kwa joho lake, akatoka na kusimama mlangoni mwa pango. Hapo, akasikia sauti, “Elia! Unafanya nini hapa?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19