1 Wafalme 19:2
1 Wafalme 19:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Yezebeli akatuma mjumbe kwa Elia amwambie: “Miungu waniulie mbali, nakuapia, ikiwa saa hizi kesho sitakuwa nimekufanya kama mmoja wa hao manabii.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo Yezebeli akampelekea Eliya mjumbe, kusema, Miungu wanifanyie hivyo na kuzidi, nisipokufanya roho yako kesho, panapo wakati huu, kama roho ya mmojawapo wa hao.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19