1 Wafalme 19:21
1 Wafalme 19:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akarudi akiacha kumfuata, akatwaa lile jozi la ng’ombe, akawachinja, akatokosa nyama zao kwa ile miti ya ng’ombe, akawapa watu, wakala. Kisha akainuka, akamfuata Eliya, akamhudumia.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elisha akamwacha Elia, akairudia jozi yake ya ng'ombe, akawachinja ng'ombe hao na kuwapika akitumia miti ya nira kama kuni, akawapa watu, wakala. Kisha akaondoka, akamfuata Elia na kuwa mtumishi wake.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19