1 Wafalme 19:4
1 Wafalme 19:4 Biblia Habari Njema (BHN)
naye akatembea mwendo wa siku nzima kuingia jangwani. Basi, akafika, akaketi chini ya mti mmoja, mretemu. Hapo, akaomba afe, akisema, “Imetosha! Siwezi tena. Ee Mwenyezi-Mungu, sasa utoe uhai wangu. Mimi si bora kuliko wazee wangu.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yeye mwenyewe akaendelea katika jangwa mwendo wa siku moja, akaenda akaketi chini ya mretemu. Akajiombea roho yake afe, akasema, Yatosha; sasa, Ee BWANA, uiondoe roho yangu; kwa kuwa mimi si mwema kuliko baba zangu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19