1 Wafalme 19:5
1 Wafalme 19:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Elia akalala chini ya mti huo, akashikwa na usingizi. Punde, malaika akaja, akamgusa na kumwambia, “Amka ule.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye akajinyosha akalala chini ya mretemu; na tazama, malaika akamgusa, akamwambia, Inuka, ule.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19