1 Wafalme 19:6
1 Wafalme 19:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Elia alipotazama, akaona mkate uliookwa juu ya makaa, na chupa ya maji karibu na kichwa chake. Basi, akala, akanywa, akalala tena.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akatazama, kumbe! Pana mkate umeokwa juu ya makaa, na gudulia la maji, kichwani pake. Akala, akanywa, akajinyosha tena.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19