1 Wafalme 19:9
1 Wafalme 19:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akafika kunako pango, akalala ndani yake. Na tazama, neno la BWANA likamjia, naye akamwambia, Unafanya nini hapa, Eliya?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 191 Wafalme 19:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Huko, akafika penye pango, akakaa humo. Mara neno la Mwenyezi-Mungu likamjia: “Elia! Unafanya nini hapa?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 19