1 Wafalme 22:20
1 Wafalme 22:20 Biblia Habari Njema (BHN)
ndipo Mwenyezi-Mungu akauliza, ‘Ni nani atakayemshawishi Ahabu aende akaangamie huko Ramoth-gileadi?’ Kila mmoja akajibu alivyofikiri.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 221 Wafalme 22:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 22