1 Wafalme 22:23
1 Wafalme 22:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ndivyo ilivyo: Mwenyezi-Mungu amewafanya hawa manabii wako wote waseme uongo. Mwenyezi-Mungu amenena mabaya juu yako!”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 221 Wafalme 22:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 22