1 Wafalme 22:7
1 Wafalme 22:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii wa BWANA tena, ili tumwulize yeye?
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 221 Wafalme 22:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 22