1 Wafalme 3:10
1 Wafalme 3:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Neno hili likawa jema machoni pa Bwana, ya kuwa Sulemani ameomba neno hili.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Bwana akapendezwa kwamba Solomoni ameliomba jambo hili.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3