1 Wafalme 3:11
1 Wafalme 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
naye akamwambia, “Kwa kuwa umetoa ombi hili, na hukujiombea maisha marefu au mali, na wala hukuomba adui zako waangamizwe, bali umejiombea utambuzi wa kutoa hukumu au kutenda haki
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu akamwambia, Kwa kuwa umeomba neno hili, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; wala hukutaka utajiri kwa nafsi yako; wala hukutaka roho za adui zako; bali umejitakia akili za kujua kuhukumu
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3