1 Wafalme 3:12
1 Wafalme 3:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
basi, tazama, nimefanya kama ulivyosema. Tazama, nimekupa moyo wa hekima na wa akili; hata kabla yako hapakuwa na mtu kama wewe, wala baada yako hatainuka mtu kama wewe.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
basi, sasa nakutimizia kama ulivyoomba. Tazama, nakupa hekima na akili kiasi ambacho hapana mtu mwingine aliyepata kuwa nacho kabla yako, na wala hatatokea mwingine kama wewe baada yako.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3