1 Wafalme 3:13
1 Wafalme 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na mambo yale usiyoyaomba nimekupa, mali na fahari, hata hapatakuwa na mtu katika wafalme kama wewe, siku zako zote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Pia, nitakupa yale ambayo hukuomba: Nitakupa utajiri na heshima zaidi ya mfalme mwingine yeyote wa nyakati zako.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3