1 Wafalme 3:14
1 Wafalme 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena kama ukifuata njia na maagizo yangu na kushika amri zangu kama alivyofanya baba yako Daudi, basi, nitakupa maisha marefu.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe ukienda katika njia zangu, na kuyashika mausia yangu, na amri zangu, kama baba yako Daudi alivyokwenda, basi nitazifanya siku zako kuwa nyingi.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3