1 Wafalme 3:5
1 Wafalme 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Huko Gibeoni, Mwenyezi-Mungu alimtokea Solomoni katika ndoto usiku, akamwambia, “Omba chochote nami nitakupa.”
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na huko Gibeoni BWANA akamtokea Sulemani katika ndoto ya usiku; Mungu akamwambia, Omba utakalo nikupe.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3