1 Wafalme 3:7
1 Wafalme 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, umeniweka mimi mtumishi wako kuwa mfalme mahali pa baba yangu Daudi, ijapokuwa ningali mtoto mdogo na sijui namna ya kutekeleza wajibu huu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 31 Wafalme 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na sasa, Ee BWANA, Mungu wangu, umenitawaza niwe mfalme mimi mtumwa wako badala ya Daudi baba yangu; nami ni mtoto mdogo tu; sijui jinsi inipasavyo kutoka wala kuingia.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 3