1 Wafalme 8:23
1 Wafalme 8:23 Biblia Habari Njema (BHN)
akasema, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu mwingine kama wewe, juu mbinguni, ama chini duniani! Wewe u mwaminifu, kwani umetimiza agano lako na kuwaonesha fadhili zako watumishi wako wanaoishi wakikutii kwa moyo wao wote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 81 Wafalme 8:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema Ee BWANA, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe, mbinguni juu wala duniani chini; ushikaye maagano na rehema kwa watumishi wako, waendao mbele zako kwa mioyo yao yote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 8