1 Wafalme 9:3
1 Wafalme 9:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Nimesikia sala yako na ombi lako. Nimeitakasa nyumba hii ambayo umenijengea ili watu waliabudu jina langu hapa milele. Nitaichunga na kuipenda wakati wote.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 91 Wafalme 9:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia, Nimeyasikia maombi yako na dua zako, ulizotoa mbele zangu. Nimeitakasa nyumba hii uliyoijenga ili niweke jina langu humo milele; tena macho yangu na moyo wangu utakuwapo hapo siku zote
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 9