1 Petro 1:22 - Linganisha Matoleo Yote
1 Petro 1:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Maadamu sasa, kwa kuutii ukweli, nyinyi mmezitakasa roho zenu na kuwapenda wenzenu bila unafiki, basi, pendaneni kwa moyo wote.
Shirikisha
1 Petro 1 BHN1 Petro 1:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikilia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo.
Shirikisha
1 Petro 1 SUV1 Petro 1:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Mkiisha kujitakasa roho zenu kwa kuitii kweli, hata kuufikia upendano wa ndugu usio na unafiki, basi jitahidini kupendana kwa moyo safi.
Shirikisha
1 Petro 1 SRUV1 Petro 1:22 NEN (Neno)
Basi kwa kuwa mmejitakasa nafsi zenu kwa kuitii ile kweli hata mkawa na upendo wa ndugu usio na unafiki, basi pendaneni kwa dhati kutoka moyoni.
Shirikisha
1 Petro 1 NEN