1 Petro 2:15
1 Petro 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mungu anataka muweze kuyakomesha maneno ya kijinga ya watu wasio na akili kwa matendo mema mnayofanya.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu ndiyo mapenzi ya Mungu, kwamba kwa kutenda mema mzibe vinywa vya ujinga vya watu wapumbavu
Shirikisha
Soma 1 Petro 2