1 Petro 2:5
1 Petro 2:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwendeeni yeye kama mawe hai mkajengeke na kuwa nyumba ya kiroho ambamo mtatumikia kama makuhani watakatifu, kutolea tambiko za kiroho zenye kumpendeza Mungu kwa njia ya Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa muwe nyumba ya Roho, ukuhani mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubaliwa na Mungu, kwa njia ya Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma 1 Petro 2