1 Petro 2:9
1 Petro 2:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini nyinyi ni ukoo mteule, makuhani wa Mfalme, taifa takatifu; watu wake Mungu mwenyewe, mlioteuliwa kutangaza matendo makuu ya Mungu aliyewaiteni kutoka gizani, akawaingizeni katika mwanga wake mkuu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 21 Petro 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali ninyi ni uzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu
Shirikisha
Soma 1 Petro 2