1 Petro 3:10-11
1 Petro 3:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila. Na aache mabaya, atende mema; Atafute amani, aifuate sana.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Anayetaka kufurahia maisha, na kuona siku za fanaka, ajizuie asiseme mabaya aepe kusema uongo. Ajiepushe na uovu, atende mema, atafute amani na kuizingatia.
Shirikisha
Soma 1 Petro 3