1 Petro 3:12
1 Petro 3:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Bwana huwatazama kwa wema waadilifu na kuzisikiliza sala zao. Lakini huwapa kisogo watu watendao maovu.”
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana uko juu ya watenda mabaya.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake husikiliza maombi yao; Bali uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya.
Shirikisha
Soma 1 Petro 3