1 Petro 3:13
1 Petro 3:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye ni nani atakayewadhuru, mkiwa wenye juhudi katika mema?
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni nani atakayeweza kuwadhuru nyinyi kama mkizingatia kutenda mema?
Shirikisha
Soma 1 Petro 3