Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 3:14 - Linganisha Matoleo Yote

1 Petro 3:14 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini, hata kama itawapasa kuteseka kwa sababu ya kutenda mema, basi, mna heri. Msimwogope mtu yeyote, wala msikubali kutiwa katika wasiwasi.

Shirikisha
1 Petro 3 BHN

1 Petro 3:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini mjapoteswa kwa sababu ya haki mna heri. Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike; bali mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu.

Shirikisha
1 Petro 3 SUV

1 Petro 3:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini hata mkiteswa kwa sababu ya kutenda haki, mna heri. Msiogope kutisha kwao, wala msifadhaike; bali mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu.

Shirikisha
1 Petro 3 SRUV

1 Petro 3:14 NEN (Neno)

Lakini hata ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki, mmebarikiwa. “Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi.”

Shirikisha
1 Petro 3 NEN