1 Petro 3:15
1 Petro 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtukuzeni Kristo kama Bwana mioyoni mwenu. Muwe tayari kumjibu yeyote atakayewaulizeni juu ya matumaini yaliyo ndani yenu
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Muwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa heshima.
Shirikisha
Soma 1 Petro 3