1 Petro 5:5
1 Petro 5:5 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kadhalika nanyi vijana mnapaswa kujiweka chini ya mamlaka ya wazee. Nyinyi nyote mnapaswa kuwa na unyenyekevu mpate kutumikiana; maana Maandiko Matakatifu yasema: “Mungu huwapinga wenye majivuno, lakini huwajalia neema wanyenyekevu.”
Shirikisha
Soma 1 Petro 5