1 Petro 5:6
1 Petro 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa enzi wa Mungu, ili awainue wakati ufaao.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, ili awakweze kwa wakati wake
Shirikisha
Soma 1 Petro 5