1 Petro 5:7
1 Petro 5:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
Shirikisha
Soma 1 Petro 5