1 Samueli 1:10
1 Samueli 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Hana alikuwa na huzuni sana. Na alipokuwa anamwomba Mwenyezi-Mungu akawa analia kwa uchungu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye huyo mwanamke alikuwa na uchungu rohoni mwake, akamwomba BWANA akalia sana.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1