1 Samueli 1:27
1 Samueli 1:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11 Samueli 1:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilimwomba anipe mtoto huyu, na yeye alinipa kile nilichomwomba.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 1