Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 10:9 - Compare All Versions

1 Samueli 10:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Shauli alipogeuka ili kumwacha Samueli, Mungu akabadili moyo wa Shauli. Yale yote aliyoambiwa na Samueli yakatokea siku hiyo.

1 Samueli 10:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Ikawa, alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu akambadilisha moyo; nazo ishara zile zote zikatukia siku ile ile.

1 Samueli 10:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ikawa, alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu akambadilisha moyo; nazo ishara zile zote zikatukia siku ile ile.

1 Samueli 10:9 NEN (Neno)

Ikawa Sauli alipogeuka kumwacha Samweli, Mungu aliubadilisha moyo wa Sauli, na ishara hizi zote zikatimizwa siku ile.