1 Samueli 12:22
1 Samueli 12:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa heshima ya jina lake kuu, Mwenyezi-Mungu hatawatupa watu wake kwa sababu amependa kuwafanya nyinyi muwe watu wake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 121 Samueli 12:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
visivyoweza kusaidia wala kuokoa, kwa kuwa havifai kitu. Maana BWANA hatawaacha watu wake kwa ajili ya jina lake kuu; kwa kuwa imempendeza BWANA kuwafanya ninyi kuwa watu wake mwenyewe.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 12