1 Samueli 17:32
1 Samueli 17:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi akamwambia Shauli, “Mtu yeyote asitishike moyoni mwake kutokana na Mfilisti huyu. Mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana naye.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Daudi akamwambia Sauli, Asifadhaike moyo mtu yeyote kwa ajili ya huyu; mimi mtumishi wako nitakwenda kupigana na Mfilisti huyu.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17