1 Samueli 17:40
1 Samueli 17:40 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi akachukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe matano mazuri kutoka kwenye kijito, akayatia katika mfuko wake wa mchungaji. Kombeo lake likiwa tayari mkononi mwake, akaanza kumwendea Goliathi Mfilisti.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:40 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akaichukua fimbo yake mkononi, akajichagulia mawe laini matano katika kijito cha maji, akayatia katika mfuko wa kichungaji aliokuwa nao, maana ni mkoba wake, na kombeo lake alikuwa nalo mkononi mwake, akamkaribia yule Mfilisti.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17