1 Samueli 18:3 - Linganisha Matoleo Yote
1 Samueli 18:3 BHN (Biblia Habari Njema)
Kwa kuwa Yonathani alimpenda Daudi kama roho yake, alifanya agano naye.
Shirikisha
1 Samueli 18 BHN1 Samueli 18:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Yonathani na Daudi wakaahidiana, kwa kuwa alimpenda kama roho yake mwenyewe.
Shirikisha
1 Samueli 18 SUV1 Samueli 18:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao Yonathani na Daudi wakaahidiana, kwa kuwa alimpenda kama roho yake mwenyewe.
Shirikisha
1 Samueli 18 SRUV1 Samueli 18:3 NEN (Neno)
Yonathani akafanya agano na Daudi kwa sababu alimpenda kama nafsi yake mwenyewe.
Shirikisha
1 Samueli 18 NEN