1 Samueli 22:22 - Linganisha Matoleo Yote
1 Samueli 22:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye Daudi akamwambia Abiathari, “Nilijua wazi siku ile nilipomwona Doegi Mwedomu, kuwa atamwambia Shauli. Hivyo, mimi nimesababisha vifo vya watu wa jamaa ya baba yako.
Shirikisha
1 Samueli 22 BHN1 Samueli 22:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akamwambia Abiathari, Siku ile alipokuwako Doegi, Mwedomi, nalijua yakini ya kuwa atamwambia Sauli; mimi nimewapatia watu wote wa jamaa ya baba yako kifo.
Shirikisha
1 Samueli 22 SUV1 Samueli 22:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Daudi akamwambia Abiathari, Siku ile alipokuwako Doegi, Mwedomi, nilijua hakika ya kuwa atamwambia Sauli; mimi nimewapatia watu wote wa jamaa ya baba yako kifo.
Shirikisha
1 Samueli 22 SRUV1 Samueli 22:22 NEN (Neno)
Kisha Daudi akamwambia Abiathari: “Siku ile Doegi Mwedomu alipokuwa pale, nilijua atahakikisha amemwambia Sauli kuwa mimi ninawajibika kwa vifo vya jamaa yote ya baba yako.
Shirikisha
1 Samueli 22 NEN