1 Samueli 26:24 - Linganisha Matoleo Yote
1 Samueli 26:24 BHN (Biblia Habari Njema)
Tazama kama vile leo maisha yako yalivyokuwa na thamani mbele yangu, ndivyo na maisha yangu yawe na thamani mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akaniokoe kutoka kwenye taabu zote.”
Shirikisha
1 Samueli 26 BHN1 Samueli 26:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, angalia, kama vile maisha yako yalivyokuwa na thamani machoni pangu, kadhalika na maisha yangu na yawe na thamani machoni pa BWANA, akaniokoe katika shida zote.
Shirikisha
1 Samueli 26 SUV1 Samueli 26:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Tena, angalia, kama vile maisha yako yalivyokuwa na thamani machoni pangu, kadhalika na maisha yangu na yawe na thamani machoni pa BWANA, akaniokoe katika shida zote.
Shirikisha
1 Samueli 26 SRUV1 Samueli 26:24 NEN (Neno)
Kwa hakika kama vile maisha yako yalivyokuwa ya thamani kwangu leo, vivyo hivyo maisha yangu na yawe na thamani kwa BWANA na kuniokoa kutoka taabu zote.”
Shirikisha
1 Samueli 26 NEN