1 Samueli 28:5-6
1 Samueli 28:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi alipowaona hao majeshi ya Wafilisti, huyo Sauli akaogopa, na moyo wake ukatetemeka sana. Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 281 Samueli 28:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Shauli alipoona jeshi la Wafilisti alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo moyoni mwake. Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 28