1 Samueli 30:6
1 Samueli 30:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, Daudi alikuwa katika matatizo makubwa kwa kuwa watu wake walikuwa na uchungu rohoni mwao kwa kupoteza watoto wao; hivyo wakawa wanamtishia kumpiga mawe. Lakini Daudi alijipa moyo kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 301 Samueli 30:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana nafsi za hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 301 Samueli 30:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Daudi akafadhaika sana; kwa sababu watu walikuwa wakisema kwamba apigwe kwa mawe, kwa maana hao watu wote walisononeka, kila mtu kwa ajili ya wanawe na binti zake; lakini Daudi alijitia nguvu katika BWANA, Mungu wake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 30